Rapper Billnass ameachia video yake mpya ya wimbo 'Mazoea' akiwa amemshirikisha rapper Mwana FA. Video imeandaliwa na Kwetu Studio chini ya director Masafiri. https://youtu.be/ac7Iebd-x4k