Muziki
New Video: Billnass – Sina Jambo
Msanii wa muziki wa Hip Hop, Billnass ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Sina Jambo’. Video ya wimbo imeandaliwa na Travellah wa kwetu studios huku audio ikiandaliwa na producer Daxochali.