Videos

New Video: Chris Brown atoa video ya wimbo aliomshirikisha marehemu Aaliyah “They Don’t Know”

Mwimbaji wa R&B Aaliyah ambaye (August 25) atafikisha miaka 12 toka afariki dunia, ameshirikishwa katika wimbo mpya wa Chris Brown ‘They Don’t Know’ uliotoka wiki hii.

They Don’t Know ni video ya pili kutoka katika album mpya ya Breezy ‘X’ ambayo imepangwa kuingia sokoni mwezi ujao (July 16).

Katika wimbo huu Chris anawashauri watu kuwa na umoja na kupendana bila kujali rangi, jinsia wala tofauti zozote.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents