Videos
New Video: Dayna Nyange – Chovya
Baada ya kufanya vizuri na ngoma yake ya Komela, msanii wa Bongo Flava Dayna Nyange ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Chovya’, video imeongozwa na Kwetu Studio.
By Peter Akaro