Videos
New Video: Dayna Nyange – Sale Sale
Msanii wa muziki Bongo, Dayna Nyange ameachia video ya ngoma yake mpya iitwayo ‘Sale Sale’, audio ya ngoma hiyo imefanywa na Bear kutoka Kili Records na upande wa video imeongozwa na Director Ivan. Itazame hapa.