Videos
New Video: Don Pol – Nani hakosei?
Msanii wa muziki kutoka Tsgang Team Selekta Gang, Don Pol baada ya kufanya vizuri na video ya wimbo Tatu, Jumamosi hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nani hakosei?’. Wimbo umetayarishwa na producer Bacteria na video imeongozwa na director Eddy.
https://youtu.be/JvdEYL9OT1k