Burudani
New Video: Eddy Kenzo – Be Happy
Msanii wa Uganda anayepewa heshima kubwa kwa kuthubutu kutoa fedha nyingi ili kufanya video zake, Eddy Kenzo ameachia video ya wimbo wake ‘Be Happy’. Video imeongozwa na director wa Afrika Kusini, Godfather.