Videos

New Video: Fabolous & Jadakiss – Theme Music (FEAT. Swizz Beatz)

By  | 

Kama ningepaswa kutaja wimbo mmoja uliopendwa katika albamu ya Fabolous na Jadakiss iitwayo “Friday on Elm Street”, basi ningeutaja ‘Theme Music’.

Swizz Beatz ameshirikishwa kwenye wimbo huu na pia yeye ndiye aliye produce muziki huo. Usiku wa Jumapili wasanii hawa watatu wamejiunga na kuachia video ya muziki huo rasmi. Uangalie hapa chini.

Na Raheem Rajuu

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments