Videos

New Video: Femi One f/ Mejja – Zaga Zaga

By  | 

Rapper kutoka lebo ya Kaka Empire ya King Kaka, Femi One, ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Zaga Zaga’ ambao amemshirikisha Mejja. Wimbo umetayarishwa na Jack Jack, wakati video imeongozwa na director Johnson Kyalo.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments