Videos

New Video: Francis f/ Chichi Chadala – Usinipigie

By  | 

Msanii Francis ameachia video yake mpya ya wimbo uitwao ‘Usinipigie’ ambao amemshirikisha Chichi Chadala. Wimbo umetayarishwa na Mr T Touch wakati video imeongozwa na Deo Abel.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments