New Video: Fred Wayne (New Boy) – Gimme Dat

Msanii wa muziki, Fred Wayne ambaye alikuwa member wa kundi la Makomando, ameachana na kundi hilo na kuja kivyake chini ya usimamizi wa Spice Music ambapo wiki hii ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao, Gimme Dat.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW