New Video: Gaga Blue f/ Mr T Touch & Barakah The Prince

Msanii kutoka nchini Burundi Gaga Blue ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Mama la Mama’ ambao amemshirikisha Mr T Touch na Barakah The Prince. Wimbo umetayarishwa na Mr T Touch, wakati Video imeongozwa na Destro.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW