Muziki
New Video: Harmonize – Happy Birthday
Muimbaji kutoka WCB, Harmonize, ameachia video ya wimbo wake mpya, Happy Birthday. Audio ya wimbo huo imeandaliwa na studio ya Wasafi na video imeongozwa na director, Hanscana.