Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Video: Ivrah – Tulizana

Msanii Ivrah ameachia video ya wimbo wake uitwao ‘Tulizana’ ambao ulikuwa maalum katika siku ya Valentine’s Day. Wimbo huo unatokana na wimbo uliowahi kuimbwa na Njenje, unaitwa Tulizana. Wimbo huo umetayarishwa na Promisenyota, wakati video imeongozwa na director Sesam.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW