Tupo Nawe

New Video: Iyo (Nigeria) f/ Diamond Platnumz – Loving You

Msanii wa Nigeria, Iyo ameachia video ya wimbo wake ‘Loving You’ aliyomshirikisha baba wawili, Diamond Platnumz. Bila shaka huyu anakuwa msanii mwingine mpya ambaye staa huyo anampa tobo Afrika Mashariki.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW