Muimbaji wa muziki, Jimmy Gospian, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Utusamehe’. Audio imeandaliwa na producer Nusder na video imeongozwa na Kenny Ukiyz. Wimbo huu una ujumbe wa kumuomba mwenyezi Mungu kuwasamehe wanadamu kwa mambo mabaya wanayofanya.
https://youtu.be/TVT8n6ujoDY