Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Video: Kebby Boy – Sina Lawama

Msanii wa Burundi, Kebby Boy ameachia video ya wimbo wake ‘Sina Lawama’ uliotayarishwa na producer Lizer Classic wa WASAFI RECORDS.

Kebby yupo chini ya uongozi wa LIGHT ENTERTAINMENT na anasimamiwa na THE BIG GUNZ ENTERTAINMENT.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW