Videos

New Video: Kenzo – Niambie

Msanii Kenzo kutka Kenya ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Niambiea’ baada ya kukaa kimya kwa kipidi kirefu. Wimbo huo ambao utapatikana kwenye albamu yake mpya ‘Love Life’ umetayarishwa na Tony Alpha wakati video imeongozwa na Edvine Maloba.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents