Videos
New Video: Khaligraph Jones x Rostam – Now You Know
Msanii wa Hip Hop kutoka Kenya, Khaligraph Jones ameachia video ya ngoma mpya iitwayo ‘Now You Know’ ngoma hii amefanya kwa kushirikiana na kindi la muziki wa Hip Hop Bongo Rostam. Video ya ngoma hii imeongizwa na Enos Olik. Itazame hapa.