Muziki
New Video: Linah ft Mr Kesho – Upweke
Muimbaji Linah Sanga ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Upweke’ akiwa ameshirikiana na Mr Kesho. Video imeongozwa na director Ghost. Wawili hao wanafanya kazi chini ya label moja iitwayo Dropouts Entertainment.
https://youtu.be/HgbL4UHSgkg