Videos
New Video: Mass –Hatare
Msanii wa muziki Mass, kutoka kisiwani Zanzibar ameachia video ya ngoma yake iitwayo ‘Hatare’ ngoma hiyo imefanywa chini ya usimamiszi wa Carrebean Music Production kwa upande wa audio imetayarishwa na Produced Mass.