Videos

New Video: Mbosso – Nimekuzoea

By  | 

Msanii mpya wa WCB, Malomboso aka Mbosso ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nimekuzoea’. Huu ni wimbo wa pili kwa msanii huyo kuuachia tangu alipotambulishwa rasmi kujiunga na WCB January 28 ya mwaka huu.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments