Burudani ya Michezo Live

New Video: Mike Tyson – If You Show Up | Soulja Boy Diss Song

Mike Tyson ameachia video ya wimbo wake, If You Show Up aliomdiss Soulja Boy. Kwa kutambua kuwa watu wasingeichukulia series video yake kama angeonekana mwenyewe akirap, bingwa huyo wa zamani wa masumbwi, ametupia watoto wakali wanaofuatiliza mistari yake. Itazame video hiyo chini.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW