Burudani
New Video: Mkubwa na Wanawe – Nitajuta
Vijana wanne wa Mkubwa na Wanawe aka Yamoto Band, wameachia video ya single yao mpya, Nitajuta. Ni video kali kutoka kwa vijana hawa waliokusanywa na Mkubwa Fela na hii ni single yao ya pili baada ya Yamoto.
https://www.youtube.com/watch?v=ISakU2mTz7Y