Videos
New Video: Mrisho Mpoto ft Kassim Mganga – Kitendawili
Msanii wa muziki wa asili, Mrisho Mpoto Jumamosi hii ameachia wimbo wake mpya ya wimbo ‘Kitendawili’ akiwa amemshirikisha Kassim Mganga. Audio imeandaliwa katika studio za Combination Sound chini ya producer Man Walter.