Moto Hauzimwi
TECNO Spark 2

New Video: Nay wa Mitego ft Rich Mavoko – Acheze

Msanii wa muziki wa Hip Hop, Nay wa Mitego baada ya kufanya vizuri na wimbo Moto, ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Acheze’ akiwa amemshirikisha Rich Mavoko kutoka WCB. Audio imeandaliwa na Osam na Abbah na video imeongozwa na Deo Abel.

https://youtu.be/vdk4MVQD3aQ

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW