Videos
New Video: Nedy Music f/ Mr Blue – Nishalewa
Msanii Nedy Music ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Nishalewa’ ambao amemshirikisha Mr Blue. Wimbo umetayarishwa na Yogo Beats wakati video imeongozwa na Hanscana.