New Video: Nioneshe – NAS B
Msanii wa muziki Nas B ameachia video ya wimbo wake mpya, Nioneshe. Muimbaji huyo kwa sasa ameamua kumuimbia Mungu baada ya kuimba muziki wa kidunia kwa muda mrefu.