New Video: Ommy Dimpoz – Wanjera

Ommy Dimpoz ameachia rasmi video iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu ya wimbo wake mpya ‘Wanjera’ ambayo Wema Sepetu na Idris Sultan wameshiriki kwenye video hiyo. Video imefanyika Afrika Kusini na kuongozwa na Godfather.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW