BurudaniVideos

New Video: Otile Brown – Yule Mbaya

Baada ya kukuru kakara na mzozano na management yake ya zamani, hatimaye msanii Otile Brown ameachia ngoma yake mpya ya kwanza nje ya label yake ya zamani ya Dreamland Music Empire.

Ngoma hii imetayarishwa na kuongozwa na kampuni ya kutengeneza muziki ya International Texture na huku video ikiongozwa na Director X Antonio. Ngoma imetoka na video kwa mpigo kwa jina Yule Mbaya. Tupia jicho na ipe sikio uburudike hapa juu.

Makala ya: Changez Ndzai (Kenya)
Facebook: Changez Ndzai
Twitter : ChangezN
Instagram:changez_ndzai

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents