Burudani
New Video: P-Square – Nobody Ugly
P-Square wameachia video yao mpya ya wimbo wa ‘Nobody Ugly’. Hii ni video ya tatu kwa wasanii hao tangu walipoungana tena Oktoba, mwaka jana.