Videos

New Video: Phillz – Brown Shuga

By  | 

Msanii wa muziki Bongo, Phillz ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Brown Shuga’ ambapo beat imetengenezwa na Sampamba music na video imeongozwa na Einxer. Itazame hapa kisha drop comment yako:

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments