MuzikiVideos

New Video: Pink – Unafeel Aje

Rapa mpya wa kike, Pink ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Unafeel Aje’. Audio ya imeandaliwa na producer Mbezi. Video imeongozwa na director Joowzey. Rapa huyo amekuja kuleta ushindani mpya baada ya rapa Rose Ree pamoja Chemical kuonyesha uwezo mkubwa katika muziki wakurap.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents