Videos
New Video: Radio & Weasel f/ Spice Diana – Kyuma
By
|
Video ya wimbo mpya wa Radio & Weasel ambao wamemshirikisha Spice Diana ‘Kyuma’ imeachiwa ikiwa ni siku chache zimepita tangu msanii Radio afariki dunia katika Hospitali Kuu ya Kampala. Tazama video hiyo hapa chini.