Videos

New Video: Reekado Banks f/ Vanessa Mdee – Move

Msanii kutoka lebo ya Mavin Records ya Don Jazzy, Reekado Banks ameachia video ya wimbo wake ‘Move’ ambao amemshirikisha Vanessa Mdee. Wimbo huo unapatikana katika albamu ya msanii huyo iitwayo ‘Spotlight’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents