Moto Hauzimwi
Shinda na SIM Account

New Video: Remy Ma f/ Lil’ Kim – Wake Me Up

Rapper wa kike hatari duniani Remy Ma ameachia video ya wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Lil’ Kim, Wake Me Up. Wimbo huo ulikuwa ukisubiriwa kwa hamu kubwa na mashabiki wa muziki wa Hip Hop ili kuweza kusikia warembo hao walivyoshirikiana katika kutengeneza ngoma hiyo.

Leave a comment

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW