Burudani ya Michezo Live

New Video: Seline – Jitume

Seline ameamua kugeukia muziki wa injili na hamasa baada ya kufanya kazi kwa kipindi kifupi kwenye label ya The Industry. Amekuja na wimbo wake wa kwanza kama msanii wa gospel uitwao Jitume.

“Nimeamua kumtumikia Mungu sababu kanifanyia mengi sana katika maisha yangu,” anasema. “Na maisha yangu ni ushuhuda, kwa vile ni msanii basi nimeamua kutumia kipaji changu kutangaza utukufu wake.”

“JITUME simply means FAITH WITH OUT WORK IS DEAD, asiyefanya kazi na asile Mungu ndio anayejua hata kama maisha magumu kiasi gani muamini yeye daima usisikilize ya binadamu sababu mwanadamu hana uwezo wa kukupadisha wala kukushusha. ver give up hata ukipitia majaribu amka,sali na kazana.”

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW