Videos

New Video: Tanzania All Stars – Uzalendo

Wasanii wa Tanzania All Stars wametoa video ya wimbo wao wa ‘Uzalendo’ wimbo ambao unahamasisha Uzalendo wa kuipenda nchi ya Tanzania na kuwa na upendo pamoja na Mshikamano. Wimbo huo wa ‘Uzalendo’ ambao umewakutanisha wasanii mbalimbali wanao Rap pamoja na wasanii wanao imba kutoka Tanzania huku asilimia kubwa ya wasanii hao wakiwa ni wazawa wa nchi hiii. Miongoni mwa wasanii ambao wameshiriki kwenye wimbo huu wa Uzalendo ni pamoja na Fid Q, Maua Sama, Ben Pol, Saida Karoli, Aslay, Rayvanny, Barnaba, G nako, Roma, Stamina, pamoja na wengine wengi.

https://youtu.be/w6LzmEY86P4

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents