Soka saa 24!

New Video: Tony Knowledgez f/ Safe – Vile

Video ya ngoma ya rapper Tony Knowledgez, Vile. Imetayarishwa na Kasoro Moja.

“Naongelea real life situation ambayo inatokea kwa watu na kwangu pia,” anasema. “Naongelea mitaa sio mizuri kwa vijana wanaojingiza bila kuielewa.”

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW