Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

New Video: Tory Lanez – SKRT SKRT

Wiki iliyopita, Tory Lanez alituonyesha orodha miziki ambayo itaonekana kwenye albamu yake mpya na 50 Cent, Fabolous, Wiz Khalifa na wengine zaidi ni miongoni mwa wasanii walioshirikishwa kwenye baadhi ya nyimbo katika albamu hiyo iitwayo Memories Don’t Die (March 2nd).

Wiki hii Tory Lanez ameamua kuachia video ya muziki wa wimbo uitwao “Skrt Skrt”. Angalia video hiyo hapa chini

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW