Soka saa 24!

New Video: Tyga – U Cry

Tyga anatarajia kuachia albamu yake mpya iitwayo Kyoto siku ya kesho Februari 16 ambapo albamu hiyo itakuwa ikiwashirikisha wasanii mbalimbali kama Gucci Mane na Tory Lanez. Rapa huyo alisema katika siku za nyuma kwamba katika albamu hiyo itaimba sana kuliko kurap.

Hii hapa ni video yake mpya ya ngoma iitwayo ‘U Cry’ ambayo ni ya 5 kwenye albamu yake. Tyga katika wimbo huu ameimba juu ya kuwa pamoja katika furaha na huzuni pamoja na msichana wake, Angalia video hiyo hapa chini.

Na Raheeem

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW