Videos
New Video: Wakuja Band – Chiriku
Bendi ya muziki ‘Wakuja Band’inayoundwa na wasanii wawili, Baba Ubaya pamoja Victor Mkwanzania imeachia project yake ya wimbo, ‘Chiriku’. Audio imeandaliwa na Mo Fire huku video ikiwa imeandaliwa na director, Otieno.