Videos
New Video: Wakuja Band – Wakuja
Bendi ya muziki Wakuja Band inayoundwa na Baba Ubaya pamoja Victor Mkwanzania imeachia project yake ya pili ya wimbo ‘Wakuja’. Audio imeandaliwa na Bagasco Kunene na video imeandaliwa na Goddybravo.
https://youtu.be/xWErH5QRfWs