Videos
New Video: Wiz Khalifa ft Sosamann – Best Life
Wakati tukisubiri ujio wa albamu mpya ya Wiz Khalifa kuachiwa ambayo itaitwa Rolling Papers 2, Wiz ameamua kuendelea kuwapa mashabiki muziki mpya.
Wiki iliopita Khalifa aliachia ngoma iitwayo ‘Captain’ na bosi huyo wa Taylor Gang amerudi wiki hii na wimbo mwingine mpya uitwao ‘Best Life’ akimshirikisha msanii aitwaye Sosamann.
Uangalie hapa chini,
Na Raheem Rajuu