Burudani
New Video: Wizkid – Final (Baba Nla)
Baada ya R.Kelly kuachia wimbo aliomshirikisha Wizkid, staa huyo wa Nigeria naye ameachia video mpya, ni ya wimbo wake alioutoa hivi karibuni ‘Final (Baba Nla)’ Video hiyo imeongozwa na director Sesan.