Muziki

New Video: Young Dee – Bongo Bahati Mbaya

By  | 

Msanii wa muziki wa hip hop, Young Dee ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Bongo Bahati Mbaya’. Audio imeandaliwa na Mr Ttouch huku video ikiongozwa na director, Msafiri kutoka Kwetu Studio.

Hii ni project ya kwanza ya rapa huyo toka aachane na label yake ya zamani, Millian Dollar Boys (MDB) na kujiunga na King Cash ya Mr Ttouch.

Loading...

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Comments