Videos
New Video: Young Dee – Kiutani Utani
Paka rapper kutoka King Cash, Young Dee ameachia video ya ngoma yake myya ‘Kiutani Utani’ iliyosukwa na producer machachari na Mr.T Touches (Touchez Studio), na video ya ngoma hiyo imeongozwa na Kwetu Studio.