Muziki
New Video: Zasta – Panya Road
Msanii wa muziki Zasta ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Panya Road’ chini ya label yake ya King Power. Wimbo huo umeandaliwa na producer BANNY MUSIC huku video ikiongozwa na director ni KALOBIZ.