Ney Wa Mitego Naye Apata Mtoto Wa Kiume

Msanii Ney wa Mitego.

Familia ya wasanii wa Bongo Flava inazidi kukua kwa kasi baada ya msanii wa hip Hop kutoka pande za Manzese, Ney wa Mitego kupata mtoto, ambaye bado hajapewa jina. Msanii Ney wa Mitego alielezea hisia zake za furaha mara baada ya kupata mtoto wa kiume jana usiku.
Inaonekana msimu huu wa kuelekea sherehe za mwisho wa mwaka kuna watoto wengi sana watakaopatikana kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya. Well, hongera Brother.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents