Michezo

Neymar aanika tattoo zake mpya za  ‘Spider-Man na Batman’ 

Nyota wa klabu ya Paris Saint-Germain, Neymar amekuwa kipenzi cha mashabiki ya mamilioni ya watoto ndani ya nchi ya Brazil na hata jijini Paris.

Neymar aliamua kuchora tattoo zake mpya za Spider-Man na Batman hapo jana kabla ya kuwavaa Napol ambazo filamu zake zinapendwa zaidi na watoto wadogo.

Pictures of the Brazil forward having the ink added were uploaded to Instagram

Hata hivyo Neymar haonyeshi kama ataendelea kusalia ndani ya klabu hiyo ya PSG, wakati wengi wakifikiria kuwa huewanda akarejea kwenye klabu yake ya zamani ya Barcelona.

Lakini rais wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu wiki hii amesisitiza kuwa hawana mpango wa kumrudisha nyota huyo ndani ya Barca.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents